HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 13, 2010

TANGAZO LA MSIBA

MZEE MPILY ENZI ZA UHAI WAKE.

MDAU RAMADHAN MPILY (DUNDA) WA ICELAND ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA BABA YAKE MPENDWA MZEE MPILY (PICHANI) KILICHOTOKEA JUZI HUKO BAGAMOYO.

MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA LEO SAA KUMI ALASILI HUKO HUKO BAGAMOYO,HALI YA MZEE MPILY ILIANZA KUBADILIKA MARA BAADA YA MSIBA WA MKEWE ALIEFARIKI MIEZI KAMA MIWILI HIVI ILIYOPITA NA KUMYANYA MZEE MPILY AKOSE RAHA SIKU ZOTE NA KUZONGWA NA MAWAZO MENGI YALIYOMPELEKEA MPAKA KATIKA HALI YA UMAUTI.

MDAU DUNDA YUKO NJIANI KUJA NCHINI KWA AJILI YA KUWAHI MAZISHI YA BABA YAKE.

TUNAMUOMBEA MZEE WETU ALAZWE MAHALA PEMA PEPONI


AMIN

....INNALILAH WAINNAILAIHI RAJIUN.....

NB: kwa mawasiliano na kumpa pole kaka Dunda namba yake ni 0657 659 065

2 comments:

  1. poleni sana ni pigo kubwa kuondokewa na baba tumwombee. Marehemu astarehe kwa amani amina.

    ReplyDelete
  2. Pole sana kaka Dunda, Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad