HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 9, 2010

Soko La Mchikichini Jioni Hii Leo

pamoja na kupigwa mikwara kila siku na virungu vya hapa na pale kutoka kwa mgambo wa site,lakini mambo yanaendelea kama kawa kwa hawa wamachinga wanaopanga biashara zao huku barabarani na kuacha ndani kuko wazi kabisa.sasa sijui ni jukumu gani lifanyike ili mambo yasiwe kama hivi??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad