HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 18, 2010

Raha Nyingine Ya Zenj

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa ilimnasa huyu Gerrard akifanya mambo tofauti na maandishi yaliyoweka na uongozi wa serikali,tena bila uoga wowote.
hapa napo mwendo mdundo hakuna wa kusoma hilo bango wala nini,kila mtu yuko bize na mambo yake.
sasa sijui taxi sio gari??maana pale kuna tangazo lisomekalo "USIWEKE GARI MBELE YA SOKO-AMRI" lakini hili ndio kwaanza linapakia na mizigo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad