Je, Wataka kukijuaaa........???? kama unataka kukijua ni kitu gani,basi endelea kuhesabu hizo siku zilizobakia na utakiona,utakifurahi na kukipenda pia.mpaka leo zimesalia siku nne tu kuweza kuoneka na kufahamika kwa hicho kitu,hivyo ndugu mdau endelea kuvuta subira na utaona mwenyewe na si kuhadithiwa tena.
Hiyo ni sanamu ya mgombea mwenza wa sisiem Dk Ghalib Bilal si mtaonaaa
ReplyDelete