spidi za ng'ombe zikifanyiwa makeke kwa ajili ya kitu cha supu ya kongoro
msela akiendelea na kazi ya kuparura ngozi iliyopo katika spidi hizo kwa moto mkali sana,hebu pitia maelezo yake hayo"nikishamaliza kuparua,ntayakata kata, ntainjika jisufuria likiwa na maji ya kutosha jikoni,halafu nitatumbukiza haya makongolo tayari kwakutengeneza kitu cha supu ya kongolo...nina wateja wengi sana wanaokuja kununua supu hii" hayo ni maneno ya msela huyu pindi alipoulizwa maswali kadhaa na Da' Agness Kiduchu.
(picha hii ni kwa hisani ya KIDUCHU BLOG)
Yeah ni tamu na haina madhara kama ile ya nyama
ReplyDelete