HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 31, 2010

kitabu cha katuni cha "SHAMBA LA PESA" kuingia mtaani agosti 2

kitabu kipya cha katuni kilichochorwa na Bashir Adams 'Mors'. ambacho kimetolewa na kusambazwa na Bantu Entertainment Ltd. chini ya mkurugenzi wake Marco Tibasima.
Kitapatikana mitaani kuanzia Jumatatu tarehe 2 Agosti, 2010 kwa bei ya tsh. 3000/- tu. Kwa maelezo zaidi jinsi ya kukipata 0765927833.


Marco Tibasima
Artist/Graphic Designer
PO Box 9974
Dar es Salaam, Tanzania
tel: +255 754 308221 (in Tanzania)
tel: +256 756 417507 (in Uganda)
webpage: www.raisingvoices.org/marco.php

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad