
Rais Jakaya Kikwete akiangalia kwa makini zawadi aliyopewa ya Kinyango na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ( KKKT) Dayosisi ya Morogoro baada ya kuandesha harambee ya uchangiaji wa fedha za ujenzi wa Sekondari ya Ebenezer Lutheran Junior Seminary ,kwenye ukumbi wa CCT mjini hapa ( wa kwanza kulia) ni Askofu wa Dayosisi hiyo, Jacob Mameo Ole Paulo na wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro, Petro Kingu na anayefuatia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , Issa Machibya.
( Picha na John Nditi).
No comments:
Post a Comment