
wachezaji wa timu ya KILIMANJARO ya huko ughaibini wakiwa wamejipanga kwa picha ya pamoja kabla ya kuingia uwanjani kujifua kwa ajili ya mtanange wa fainali dhidi ya watani wetu (KENYA) utakaopigwa leo katika uwanja wa Mälarhöjen jijini Stockholm,Sweden.kwa wale ambao wako mbali na maeleo hayo basi mnashauriwa kupanda train za Fruängen na utashuka katika kituo hicho cha Fruängen na utaelekea moja kwa moja ulipo uwanja huo.hivyo mnakaribishwa sana kufika kuucheki mtanange huo ambao unatazamiwa kuwa ni mzuri na wa kuvutia sana.
No comments:
Post a Comment