
mgomba ukionekana kushaini katika moja ya chemba zilizopo pembezoni mwa barabara ya Ally Hassan Mwinyi rodi,wakazi wa eneo hili wanasema mgomba huu huwa unazalisha ndizi kibao kila ufikapo msimu wa ndizi.sasa sijui ni kweli au ndio nimekula changa na macho??

cheki unavyopendezea....
No comments:
Post a Comment