HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 20, 2010

mashindano ya pool table kuanza hivi karibuni

washiriki wa mchezo wa Pool table wakishindana katika mashindano ya speed pool yanayoendelea kufanyika mkoani Arusha.

Na Woinde Shizza,Arusha

Ikiwa mashindano yajulikanayo kama Safari Pool national champion ship yanatarajiwa kuanza kutimiua vumbi hivi karibuni na fainali zake zinatarajiwa kufanyika mkoani Arusha kampuni ya bia ya TBL imeanza maandalizi kwa ajili ya mashindano hayo

Kampuni hii imeanza kutoa hamasa katika sehemu mbalimbali za mjini hapa ikiwemo katika bar ambazo zina washiriki wengi ambao wanapenda mchezo huu.

Kwa mujibu wa taarifa ya mmoja wa wahamasishaji wa mashindano hayo alipoojiwa na blog ya jamii kuhusiana na hamasa hiyo alisema kuwa wameanza kutoa hamasa kwa kufanya promosheni kido kidogo ya kuwataharifu wakazi w amkoa huu kuwa mashindano haya yanafanyika mkoani hapa.

Alisema kuwa kuna baadhi ya zawadi ambazo wanazitoa kwa ajili ya kuhamasisha watu na pia alibainisha kuwa pamoja na kuwahamasisha watu pia wameandaa mashindano.

Alisema kuwa mashindano wanayafanya kwa sasa ni yanajulikana kama speed pool ambayo yanachezwa kwa kutega sekunde na mshindi anayepatika anagaiwa zawadi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad