
kamera ya Mtaa Kwa Mtaa ilimkuta mtoto huyu akichezea moto uliokuwa umewekwa nje ya nyumba yao kwa kuchemshia mahindi,mtoto huyu ambaye mkononi alionekana kushika kopo la splay la dawa kuuwa wadudu warukao huku akisplay katika moto huo na watoto wenzake wakiangalia na kufurahi.sasa sijui huyu alieweka hii hakuwaza kama kuna watoto hapo??maana hata hakuwepo katika eneo hilo wakati huo.
No comments:
Post a Comment