
Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa ilimyaka huyu jamaa akiwa amesimama barabarani huku akiongea na simu tena bila hata wasi wasi kwamba hapo aliposimama hapastahili kabisa kusimama maana sio kila anaetumia njia hizi anakuwa na mawazo kama ya huyu jamaa.sasa sijui akila buyu hapa atalalamika kwamba huyo dereva hakumuona au sijui itakuwa vipi?
No comments:
Post a Comment