HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 4, 2010

Flava Nite @ Mzalendo Pub Full Burdaaaaaan....!!!!!

wazee wa kazi,toka shoto ni Mdau Chacha Mginga wa TBC1,Ankal Michuzi,Dj Bon luv,Dj Mackay na Dj Venture wakiwakilisha ndani ya kiota cha maraha cha Mzalendo Pub usiku wa kuamkia leo. wakali wa bongo freva loooooong taimu
mie na wakali katika anga ya muziki bongo
Dj Bon Luv akiwa na wadau wa fLaVa NiTe
warembo wakishoo lavu
Cuthbert na warembo
Alex (shoto) akiwa na wadau
fLaVa NiTe na Warembo ni dugu moja.
mie na Mwandale...
Bon Luv na Wadau.
Ankal (suti) akiwa na Venture (njano) pamoja na wadau
Detah na Don wakiyarudi magoma tarrrrtiiiib.....
Kitenge (shoto) na magoma ya kale usimpimie hata kidogo,hapo akiangusha moja moja na washkaji.
Dean (supa tolu katika hapa) akiwa na warembo ndani ya fLaVa NiTe.
mshindi wa kata ile kitu wengi napenda kuina wawapo mzalendo pub katika usiku wa fLaVa NiTe akiwa na zawadi yake.
mshindi akabidhiwa zawadi yake.
mambo ya naija yamenoga sasa.
alajii alajiii ...............
kwaitozzz........
haya mambo yote hupatikana sehemu moja tu katika kila wik nayo ni mzalendo pub pekee katika usiku wa fLaVa NiTe kila siku ya jumamosi.lakini wiki hii itakuwa mara mbili kwani siku ya mkesha wa sabasaba (jumanne) fLaVa NiTe itaungana na ndugu zao wa Machozi Band na kuangusha bonge moja la burudani ambayo haijawahi tokea popote kwani siku hiyo itakuwa ni siku ya kipekee kabisa katika nyanja ya burudani.hivyo basi unatakiwa uweke pamba zako tayari tayari kwaajili ya shoo hilo litakaloangushwa siku ya j4 pale pale katika kiota cha maraha cha mzalendo pub na kuungana na Machozi band pamoja na fLaVa Nite ikiwa na maDj wakali kama Dj Bon Luv,Dj Venture,Dj Mackay na Dj Osca
ukiikosha shooo hiii Jimalizeeeee.......!!!!

1 comment:

  1. DONALD MHAIKI UPO?????????EX BOX 2 ENZI ZA MAYAO!!!!!!HAHAHAHAHA NIMEFURAHI KUKUONA,VIPI UMEACHA KUIMBA MAANA WEWE NA AKINA JOHN NTABULI NDO MLIKUWA MARAPER WA BOYS WAKATI WA DISCO NA TAMSALAAAA
    HAHAHAHAHA,HAYA BWANA KILA LA HERI
    MDAU WA AZIMIO 3 BOX 2
    BOSTON,US

    ReplyDelete

Post Bottom Ad