HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 5, 2010

Flava Nite & Lady Jay Dee na Machozi Band Ndani Ya Wanja Moja J4 Hii

jumanne hii ya tarehe 6/7/2010 ambayo itakuwa ni siku ya mkesha wa Saba Saba,wakali wa Old Skul,Naija,Bolingo Za kufa mtu wataungana na ndugu zao wa damu kabisa Machozi Band kuangusha magoma ya ukweli na ya kijanja ndani ya Mzalendo Pub.
hii ni shoo ya kipekee kabisa kutokea katika maswala mazima ya burudani,hivyo hutakiwa kukosa siku hiyo kwani ukikosa ujue hakuna wa kuja kukuhadidhia.fika mwenyewe uweze kupata burudani kabambee kabisa.
kiilingili ni buku 10,000 tu.

nyoote mnakaribishwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad