
Msanii wa hip hop Fid Q akimuimbisha shabiki wake jukwaani

Diamond akiwaimbia wakazi wa Moro wimbo wake wa mbagala ambao uliwavutia wengi

palikuwa hapatoshi jukwaani

Msaniii chipuzi mahiri wa muziki wa kizazi kipya Diamond akijianda na skwadi lake kupanda jukwaani kufanya mashambulizi ya nguvu

miluzi na mikono hewani kila walipokunwa kiaina

Mwenyeji wa wasanii kutoka Morogoro,Belle 9 jukwaani

Msanii mahiri wa Hip Hop ,Mwana FA akifloo mbele ya wshabiki wa Moro waliofurika ndani ya waunja Jamhuri

Rekodi hii namiini kabisa haitavunjwa na burudani ya aina yoyote mjini moro

Barnaba na Lina wote kutoka THT wakilishambulia jukwaa kwa staili ya kipekee iliyowavutia washabiki uwanjani hapo

Nyomi la kufa mtu haijawahi kutokea

Barnaba nae kutoka nyumba ya vipaji akiimba kwa ustadi mkubwa

Msanii kutoka THT,Amin akiwaimbia wakazi wa moro ndani ya uwanja wa jamhuri wimbo wake wa robo saa

Palikuwa hapatoshi na raha ya burudani ya jipanguse kutoka kwa THT

Ama kwa hakika watu walijaa pomoni,haijawahi kutokea katika onyesho lolote mkoani Morogoro

Wasanii wa muziki kutoka kundi la Tip Top Conections wakilishambulia jukwaa kwa pamoja
No comments:
Post a Comment