hawa ndio waliokuwa wawezeshaji wa muziki katika pati hiyo iliyofanyika katika beach ya Chadibwa,Kigamboni leo. mapozi ya picha za kushtukiza. wakifuatilia kwa makini shoo zilizokuwa zikionyeshwa mahala hapo leo. ilikuwa ni full mzuka. ndani ya vibanda huku wakibadilishana mawazo ya hapa na pale katika masuala mazima ya skuli.
No comments:
Post a Comment