
Zamani hiki kibao kilikuwa kikionyesha mahali wanapopatikana wafanyabiashara ndogo ndogo,lakini sasa hivi utawakuwa na wafanyabiashara wenyewe hapo hapo na utaendelea mbele kwa kuelekea upande wowote ule huku wakiwa wametapakaa kila kona.

ukiwa unaelekea kariakoo utawaona katika ukuta wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) wakiwa wameuremba kwa kupanga nguo kama hivi na vitu vingine kibao.hii inaonyesha ni kiasi gani hawa jamaa wamekuwa huru katika kufanya biashara zao.
No comments:
Post a Comment