jamani mwenzenu nilijifunza kuendesha magari gereji,sasa haya mambo ya kuyuu tan huwa yananipiga chenga sana hivyo naombeni msaada wenu kwa hapa ili hata siku nyingine nikifika hapa nijue cha kufanya.
No comments:
Post a Comment