HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 17, 2010

wizara ya habari utamaduni na michezo yatoa semina kwa wafanyakazi wake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari , Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akifungua mafunzo kwa Maafisa wa Wizara hiyo jijini Dar es salaam juu ya utawala bora.
Viongozi waandamizi wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Seth Kamuhanda akifungua mafunzo kwa Maafisa wa Wizara hiyo jijini Dar es salaam juu ya utawala bora.
PICHA na Tiganya Vincent-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad