
kutokana na kukosekana kwa sehemu nyingi za kuchezea watoto,watoto wengi inawabidi waamue kucheza katika sehemu yeyote ile wanayoona inawezekana kucheza,kama kamera ya mtaa kwa mtaa ilivyowakuta watoto hawa wakicheza katika gari ambalo linaonekana ni bovu kwa kupanda na kuruka.
No comments:
Post a Comment