HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 20, 2010

Watu Wengine Sijui Wakoje!!??

sasa ona kama huyo mwenye hiyo texi hapo mbele,eti kasimama kabisa ili asalimiane na swahiba wake na ili hali akijua kabisa kwamba hapo ni barabarani.sijui huu ni utaratibu wa wapi??

1 comment:

  1. Alikuwa anamwomba jamaa yake akamnunulie sigara, kwa hiyo mpaka arudi ndio ataondoa gari

    ReplyDelete

Post Bottom Ad