mtoto Lulu (kati) akiwa na rafikize waliofika katika sherehe hiyo ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Lulu iliyofanika jioni hii katika holi la Lion Hotel,sinza.
Mtoto Lulu akimlisha keki mmoja wa marafiki zake
Mama wa Lulu akimkabidhi mwanae zawadi ya Baskeli katika sherehe ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Lulu pindi alipotimiza miaka 6.sherehe hiyo imefanyika jioni hii katika hotel ya Lion,sinza.
No comments:
Post a Comment