HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 23, 2010

Walioliweka Hili Bango Hapa Waliwaza Nini??

na hawa waliokuja kuweka hayo maneno hapo walikuwa wapi wakati likiwekwa mpaka leo wanafika kuandika hivyo??na kwanini kama waliona limewekwa kimakosa katika sehemu hiyo wasilitoe??hapa ni kwenye mzunguko wa raundi abauti ya Zanaki na Jamruri.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad