HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 23, 2010

mshindi wa shindano la kombe la dunia trivia sms akabidhiwa zawadi yake

Ully Mwaipopo mkazi wa kimara akipokea zawadi ya Luninga aina ya LCD nchi 32 iliyounganishwa na king’amuzi cha DSTV kutoka kwa mtaalamu wa bidhaa wa Vodacom Tanzania Joe Bendera (kulia) kwa niaba ya mshindi wa shindano la Kombe la Dunia Trivia SMS, Ganga Mlipano. Katikati ni Afisa Huduma wa DSTV, Carlos Amri,Vyote vikiwa na thamani ya Milioni 1.6
Ully Mwaipopo mkazi wa kimara akipokea zawadi ya king’amuzi cha DSTV pamoja na Luninga aina ya LCD nchi 32 kilichounganishwa na kulipiwa kwa muda wa miezi mitatu kutoka kwa mtaalamu wa bidhaa wa Vodacom Tanzania Joe Bendera (kulia) kwa niaba ya mshindi wa shindano la Kombe la Dunia Trivia SMS, Ganga Mlipano. Katikati ni Afisa Huduma wa DSTV, Carlos Amri, Vyote vikiwa na thamani ya Milioni 1.6

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad