shimo hili lipo pale usoni mwa ukumbi wa Diamond jubilii holi,na sio kama ni hili tu yapo mengine kibao katika barabara hiyo.sasa sijui kuwa watu huwa wanakuja kuchimba mchanga humu mabarabarani???maana mahandaki kila kona ya jiji!!
No comments:
Post a Comment