
Sisi tunajitahidi kuwafundisha warembo wetu kuwaona waandishi wa habari kama marafiki na watu wa kushirikiana nao na wala si maadui kwa kudhani kuwa watawaandika vibaya. saa nne watakuwa magazeti ya serikali Dailynews na habari leo, saa tano, jambo leo halafu watakwenda Business times na kumalizia Mwananchi Communications. Kesho wataendelea na ziara hiyo.
No comments:
Post a Comment