
Rais Jakaya Kikwete akipokea fomu za kugombea urais toka kwa katibu
mkuu wa CCM Mh. Yusuf Makamba mchana huu dodoma

Rais Kikwete akipeana mkono na Katibu mkuu wa CCM mara Mh. Yusuf Makamba mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kugombea Urais

Rais Jakaya Kikwete akionyesha fomu kwa umati mkubwa wa wana CCM
waliojitokeza kushuhudia hafla hii mjini Dodoma leo.

Mama Salma na watoto walikuwepo kushuhudia

Mama Salma Kikwete na Mama Pinda katika hafla hii

Vijana wa UVCCM wakihakikia kadi za wanachama wanaomdhamini Rais Jakaya Kikwete

Uhakiki wa wadhamini wa Rais Jakaya Kikwete waendelea

wengi wajitokeza kumdhamini Rais Jakaya Kikwete

Uhakiki wa wadhamini wa Rais Jakaya Kikwete unafanyika kwa umakini mkubwa.

foleni ya wana CCM wanaotaka kumdhamini Rais Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo.
No comments:
Post a Comment