HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 5, 2010

Mzee Akimwaga Neno Posta Mpya

mzee huyu yuko pale Posta mpya kila siku akitoa neno la bwana huku akipiga na ngoma yake ikiwa ni kunogesha neno hilo.mbele yake kuna kikapu kama mkionavyo hapo ambacho anahimiza wananchi waweze kutoa michango kwa ajili ya ibada hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad