HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 5, 2010

Mitego Ya Panya

hawa jamaa wanauza mitego ya panya ya kichina ambayo unaambiwa ukiutega sehemu ambayo Panya anapita basi lazima anase.na hapo pembeni ni panya walikamatwa kwa mitego ambao tayari washakufa,hapo wako kwaajili ya mifano kwa wateja wao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad