HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 7, 2010

Mtoto Anna-Devorta Apokea Sakramenti Ya Kwanza

Mtoto Anna-Devolta Deo akiwa katika tabasamu zito mara baada ya kupata Sakramenti Ekaristi Takatifu ya Kwanza katika kanisa kuu la Katoliki la Mtakatifu Joseph jana.Mtoto Anna alikuwa ni mmoja kati ya Watoto 55 waliofanikiwa kupata Sakramenti hiyo.
Mwadhama Polycarp Kardinari Pengo akimlisha mtoto Anna chakula cha Bwana mara baada ya kuwapatia Sakramenti ya kwanza watoto wapatao 55 jana katika kanisa kuu la Mtakatifu Joseph.Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiwa katika picha ya pamoja na watoto wapatao 55 akiwemo na Anna-Devorta Deo katika picha ya pamoja mara baada ya ibada.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad