
huyu jamaa nilimkuta jana kule nyuma ya Kampuni ya bia nchini,TBL akipiga bafu tena bila hata wasi wasi wowote kwa kutumia maji yanayotoka katika kiwanda hicho.sasa sijui hayo maji yako namna gani??maana hata huyo mwingine hapo alikuwa akimsubiri mwenzie atoke ili na yeye akapige zake bafu.
No comments:
Post a Comment