Keki la Besdei hiloo Mwamvita Makamba akikata keki yake ya Birthday Mwamvita akijichana msosi Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akifurahia jambo mara baada ya kupewa kekiz na Mwamvita (kulia) Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakijichana cake kwenye birthday ya mfanyakazi mwenzao Mwamvita Makamba.
No comments:
Post a Comment