ndinga zikiwa zimepandana mara baada ya lori la mchanga kufeli breki na kuyafanya magari hayo ndio breki katika mzinga uliolia mchana wa leo maeneo ya magomeni mikumi.hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii.
wapita njia wakiangalia jinsi magari yalivyoharibika vibaya baada ya kufanywa breki na lori la mchanga mchana wa leo maeneo ya magomeni mikumi.
ndinga likipigwa spana katikati ya barabara ya kawawa rodi maeneo ya magomeni mikumi mara baada ya kufeli breki na kwenda kusimamia kwenye magari yaliyokuwa mbele yake yapatayo kama sita hivi mchana wa leo.
z

Othman habari ya mzinga nadhani ungeipa headline isiyo na ushabiki manake ni jambo la kuhuzunisha na kama janga katika jamii.Hivyo "Mzinga wa maana" sio neno zuri wala si utani mzuri katika issue sensitive kama ajali au magonjwa.
ReplyDelete