
msela akijisevia kiwese katika gari linalobeba mafuta katika mataa yaliopo tazara jijini Dar

jamaa akiuza mitego ya panya huku akiwa amewashika panya waliokamatwa na mitego hiyo.

wakazi wa maeneo ya ubungo wakipita katika sehemu ya mto wa ubungo ambayo imelika kwa maji yapitayo katika mto hu.
(picha zote kwa hisani ya Mjengwa Blog)
Hii ndio CCM maisha bora kwa kila mtanzania!!
ReplyDelete