kondakta wa daladala moja lifanyalo safari zake kati ya gongo la mboto - sinza akikwidana mashati na jamaa mmoja inaesadikika kuwa alikuwa ni abiria katika gari hilo baada kupishana kauli na jamaa huyo wakati akidai chake.
No comments:
Post a Comment