mdau aliopo huko mjini Songea ametuletea picha hii alioipiga wakati akiendeleza libeneke la Mtaa Kwa Mtaa katika mkoa huo wa Ruvuma.anasema sasa hivi jamaa wamefika mpaka huko na wanaendeleza libeneke kama kawa.
No comments:
Post a Comment