sehemu ya daraja lililowekwa baada ya kuchongwa kwa barabara ya moja kwa moja kutokea kariakoo mpaka ubungo maziwa.japo bado lami haijawekwa lakini gari zinatembea vyema kabisa.ni rahisi pia hata kwa watembea kwa miguu.kumenyooka hadi raha.
No comments:
Post a Comment