HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 23, 2010

Hizi Sklepa Zitamaliza Jiji Letu

hebu ona kama hapa tena na njia imepatokana kabisa baada ya kukatwa huo uzio na kupelekwa kusiko julikana.
cheki mwanya mwingine huu hapa,yaani ni sehemu kubwa sana imekatwa katwa katika eneo hili la manzese ambalo liliwekwa uzio huko ili kuepusha ajali za kizembe na kuwafanya watu wote wakavuke katika daraja kubwa lilipo eneo hilo.lakini wameona hakuna umuhimu wa hilo na kupiga msumeno.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad