HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 23, 2010

Fainali Ya Vipaji Redd's Miss Ilala

Da'Lilly wa TBL akitambulisha washindi wa tano bora wataochuana siku ya fainali za Redd's Miss Ilala Jumamosi Juni 26 katika ukumbu wa Ubungo plaza jijini Dar
Warembo wa Miss Temeke 2010 wakitambulishwa jukwaani
Baadhi ya warembo wa Miss Kinondoni 2010 walikuwepo pia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad