hivi eneo hili lina nini wajameni??mbona ni hapa tu ndio pako namna hii na wakati hii barabara ilikuwa katika matengenezo masiku kadhaa tu yaliyopita??au walipasahau hapa??
hebu cheki kwa hapa cheki na kwa huku.
si mnaona wenyewe jamani??
vihandaki vya hapa na pale viko kibao katika eneo hili.sasa sijui inakuwa??
No comments:
Post a Comment