
sehemu ya kuegesha magari kwa wateja wajao BM Barbershop

ukifika mapokezi pale BM Barbershop utamkuta mwanadada huyu mrembo kabisa

Sehemu ya Mapumziko huku ukiendelea kucheki mechi kombe Dunia kule sauzi kwa mzee madiba

Deluxe Section

ukataji nywele kwa Fashion tofauti tofauti.

sehemu ya kuoshwa baada ya kupigwa sop sop .

sehemu ya Massage & Full Facial

Mashine ya kusafishia viatu.

mtoto akioshwa kwa Shampoo.

half Facial section
TEMBELEA BM EXECUTIVE BARBERSHOP & BEAUTY CENTRE KWA HUDUMA NZURI NA BORA KABISA. WANAPATIKANA KINONDONI MANYANYA.
AU
No comments:
Post a Comment