Bajaj ikiwa imekula mbavu mara baada ya kupigwa pande na ndinga wakati ikiwahi kijiweni kwake maeneo ya sinza.wasamalia wakifanya kazi yao kama ya siku zote.ahsante ya picha toka kwa Muhidin Sufiani anaepatikana hapa.
No comments:
Post a Comment