HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, June 27, 2010

Bahati Chande Anyakua Taji La Redd's Miss Ilala 2010

Redd's Miss Ilala 2010,Bahati Chande akiwa na mshindi wa pili Consolata Lukosi (shoto) na Mshindi wa tatu na Salma Mwakalukwa
Redds Miss Ilala 2010,Bahati Chande akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wenzie alioingia nao tano bora wakiwa katika nyuso za furaha mara baada ya kufanikiwa kuingia kwenye hatua hiyo.
Redds Miss Ilala 2009,Sylivia Shally akimvisha crown mrithi wa kiti chake,Bahati Chande usiku wa kuamkia leo mara baada ya kuibuka mshindi na kulinyakua taji la Redds Miss Ilala 2010,ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza,jijini Dar.
Kumi bora ya Redds Miss Ilala 2010
Mwaandaji wa shindano hilo kutoka kampuni ya Metro Politan,Jakson Kalikumtima akitaja kumi bora ya Redds Miss Ilala 2010 usiku wa kumkia leo ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza jijini dar
Washiriki wote wapatao 17 wakiwa wamejipanga jukwaani kusubiri kuchaguliawa katika hatua ya kumi bora

1 comment:

Post Bottom Ad