
Askari wa Faya wakizima moto uliokuwa ukiwaka katika nyumba moja iliopo maeneo ya Tabata Shule leo,chanzo cha moto huo inasemekana ni shoti ta umeme iliyotokea katika moja vyuomba vilivyomo katika nyumba hiyo.hakuna aliedhulika na moto huo

wanausalama walikuwepo kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.

msela akicheki kama ataibuka na chochote kitu katika sehemu iliyokuwa na duka la urembo

majirani wakiwa katika masikitiko

askari wa Faya akufunga maji mara baada ya Paipu kuchomoka.

sehemu ya nyuma ya nyumba hiyo wakati vitu vingine vikiokolewa.

sehemu ya duka la vifaa vya ujenzi....

umati wa wakazi wa jirani na maeneo hayo ya tukio wakitahamaki kuona tukio hilo.
No comments:
Post a Comment