
Dj Venture akishow love na Hashem Thabeet

Hashem Thabeet akiwa na Detha mara baada ya kumzawadia Wine kutoka ya Overmeer

Detha akimzawadia Hashem zawadi ya Wine ya Overmeer huku Venture akicheki

Gardner,Mekisha (aliecheza muvi ya Lovely Gamble) pamoja Venture wakiwa ndani ya Flava Nite @ Mzalendo pub usiku wa kuamkia leo.

toka shoto ni Dj Bullah,Mrembo,Dj Oscer pamoja na Sunday wa Magic Fm

Dj Venture (kulia) akiwa na wadau

Mie na Magreth

Sophia Kessy akiwa na Jackson Mmbando wakiwa katika mazungumzo yenye utani ndani yake.

Godfrey (red) akiwa na washkaji wake.

warembo

mie na Samira

Steve Nyerere na mai nanihii wake

Dj Bon Love,Mdau na mwisho ni Richie Dillon

mie na Gabby

Hasheem Thabeet na Dj Bullah

Fatma na Samira

Isack Gamba,Dj Bon Love na mdau

Magreth (red) na shogazee

Jaq na Albert

George Luanda na Dj Bon Love

Chacha Maginga na Shemeji yetu

Salma na Salma

toka kulia ni Boss,Mrembo,Dj Oscer,Richie Dillon na mrembo wakishow love kwa pamoja.

Said,Dj Mul B,Samira na Fatma

toka shoto ni Danny,Mdau,Dj Bon Love,Jay,Mdau na mdau

Man Juddah (kati) akiwa na washkaji zake

Hasheem Thabeet akijumuika pamoja na wadau waliofika mzalendo pub na kufurahi kwa pamoja.
Blog imepoteza muelekeo, ushauri wangu kwako watu wengi hawapendezwi kuona unaweka picha za namna hii, jaribu kuwa mbunifu na mdadisi ili uweke picha za matukio na hususan maisha halisi ya mtanzania.
ReplyDeleteWengi tuliokua nje ya nyumbani blog zimekua ni njia nyepesi na rahisi ya kufuatilia matukio ya huko nyumbani, kuliko kuangalia picha zaidi ya 20 zote zikiwa na ujumbe sawa.
Nia yangu ni nzuri tu kutaka wewe upate nini hisia za wasomaji wako.
Style hii mpya ya kuchukua watu maarufu na kuwajaza si-dhani kama itakusaidia sana.
Jaribu kurudia style ya ko ya nyuma kidogo, weka matukio ya wafanyabiashara ndogo ndogo, msongamano wa magari, mazingira ya kuvutia na uchafuzi wa manzingira, sehemu za michezo na fukwe za bahari, nk
Kwa namna hiyo utapata wasomaji wengi na watavutiwa na blog yako.
Nashukuru sana kwa maoni yako Ndugu Waiguti na naamini nitafanyia kazi ushauri wako.
ReplyDeleteTuko PamoJah Mkuu
huyo thabeet vipi anajirusha bongo mazoezi anafanya lakini? au anasubiri tena NBA wampange ligi za mchangani siyo mali ,sifa za bongo hazina mpango wowote
ReplyDeleteehe huo chacha maginga vipi kaacha kazi mwanza nini, haya na mama kamatoa wapi au ndiyo ile style ya shugamami na kiserengeti lakini poa imependeza
ReplyDeleteduh, Chayo wa Arusha school bado yupo? Huyu jamaa hazeeki? Yaani watu alosoma nao wote wamezeeka au ni mijibaba flani hivi majumbani mwao, ila yeye bado anaonekana bado katoto utadhani kamaliza f6 lasy year. hongera kwa kujitunza ila ni kweli bado hata familia hujaanzisha kijana? umri unasongea kaka
ReplyDelete