mshindi wa kulisakata vyema duara kwa kuichezesha nyonga yake akiwa na zawadi yake mshindi wa kata nyonga akikabidhiwa zawadi yake toka kwa mdau Sam huku dada Detha akishuhudia. Super na Detha katika kusakata magoma mtasha katika mduara mambo imekolea raha ya mduara ni kushika na kusikamanaaaaa....... kwaitozzz.oldizz yenu limekoleaa ukifika Mzalendo pub katika usiku wa ladha ni lazima usuuzike na roho yako maana unapata ile kitu roho yako inataka na wala huwezi kupata sehemu nyingine yeyote ile.sasa fanya hima kutia timu j1 ijayo kama hii ilikupiga chenga.
No comments:
Post a Comment