jengo jipya na la kisasa kabisa kwa ajili ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama wamachinga,lionekanavyo sasa baada ya kumalizika kwa ujenzi.sijui ni lini litafunguliwa rasmi na kuanza kupiga mzigo??maana naona kama vile wamelichunia!!
No comments:
Post a Comment