FESTIVAL YA WABONGO NCHINI FINLAND "FEST AFRIKA"IMEMUALIKA MWANAMZIKI DEKULA KAHANGA NA BENDI YAKEMJINI TAMPERE KUTIMUA VUMBI... TAREHE 02/ JULAI/ 2010...FESTIVAL HIYO AMBAYO IMEWAHI KUALIKA WANAMZIKI KAMATABIA MWANJELWA,JAH KIMBUTE NA BENDI YA NGOMA AFRIKA (FFU)NI MOJA YA FESTIVAL KUBWA KATIKA NCHI ZA SCANDINAVIA
No comments:
Post a Comment