
chombo kikiwa kimepoteza muelekeo na kuingia kichakani

chombo kikiwa kimejiegesha pembezoni mwa barabara kuu ya mikoani ifahamikayo kama Morogoro road katika eneo la kibamba,mara baada ya dereva wake kushindwa kulikontroo wakati likitembea.hakuna aliedhulika katika ajali hii.

kileeee......
No comments:
Post a Comment