HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 4, 2010

Mkoa wa Pwani Wapigwa Tafu Na TBL katika Kili Taifa Cup

Meneja Matukio wa bia ya Kilimanjaro (TBL),Zozimick Kimati akimkabidhi Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani,Bernard Nzungu kiasi cha Tsh. mil 1.5 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Kili Taifa Cup yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mapema mwezi huu.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani,Bernard Nzungu akikabidhia fedha hizo kwa Katibu Mkuu (COREFA),Riziki Majalla mara baada ya kupokea toka kwa meneja matukio wa bia ya Kilimanjaro,Zozimick Kimati katika hafla fupi iliyofanyika leo kwenye ofisi za mkuu wa Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad